Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachotarajia kucheza mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Uganda Machi 24,2019.

Image
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti inakabiliwa na mchezo muhimu dhidi ya Uganda wa kufuzu kucheza Fainali za Afrika mwaka huu. Huu ni mchezo ambao kama Taifa Stars itashinda inaweza kukata tiketi ya kucheza AFCON mwaka huu itakayofanyika nchini Misri. Mchezo dhidi ya Uganda utachezwa Jumapili Machi 24,2019 saa 12 jioni kwenye Uwanja wa Taifa. Kocha Mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike ametangaza kikosi kitakachopambana kuisaka tiketi hiyo kwenye Uwanja wa nyumbani. Nahodha Mbwana Samatta anayecheza KRC Genk ya Belgium ataongoza kikosi katika mchezo huo uliobeba imani ya Watanzania. Kocha Amunike amesema Kikosi alichokitaja kimezingatia mambo mengi kuhakikisha Taifa Stars inapata ushindi. Amewataka Watanzania kuiunga mkono Taifa Stars katika kuipeperusha bendera ya Tanzania. Kwa upande wake, Afisa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), George Mango amesema kampuni hiyo imekuwa ikihakikisha kikosi hicho kinafanya maandalizi m...

Mohamed Salah: Egypt forward scores last-minute winner against Tunisia

Mohamed Salah

Mohamed Salah scored a last-minute winner as Egypt beat Tunisia 3-2 in Africa Cup of Nations qualifying.
The Liverpool forward played a one-two with Salah Mohsen before clipping the ball over keeper Farouk Ben Mustapha for his 39th international goal.
He has now scored in each of his past eight international matches.
Naim Sliti scored twice for Tunisia, either side of goals from Trezeguet and Baher El Mohamady. Both sides have already qualified for Afcon 2019.
The tournament will be hosted in Cameroon from 15 June to 13 July, a change from the usual January/February schedule.

Comments

Popular posts from this blog

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachotarajia kucheza mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Uganda Machi 24,2019.

Nigeria: Afcon Qualifier Squad - Mikel's Name Missing Again

Football gossip: Lukaku, Neymar, Mbappe, De Jong, Jimenez, Maguire