Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachotarajia kucheza mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Uganda Machi 24,2019.

Image
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti inakabiliwa na mchezo muhimu dhidi ya Uganda wa kufuzu kucheza Fainali za Afrika mwaka huu. Huu ni mchezo ambao kama Taifa Stars itashinda inaweza kukata tiketi ya kucheza AFCON mwaka huu itakayofanyika nchini Misri. Mchezo dhidi ya Uganda utachezwa Jumapili Machi 24,2019 saa 12 jioni kwenye Uwanja wa Taifa. Kocha Mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike ametangaza kikosi kitakachopambana kuisaka tiketi hiyo kwenye Uwanja wa nyumbani. Nahodha Mbwana Samatta anayecheza KRC Genk ya Belgium ataongoza kikosi katika mchezo huo uliobeba imani ya Watanzania. Kocha Amunike amesema Kikosi alichokitaja kimezingatia mambo mengi kuhakikisha Taifa Stars inapata ushindi. Amewataka Watanzania kuiunga mkono Taifa Stars katika kuipeperusha bendera ya Tanzania. Kwa upande wake, Afisa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), George Mango amesema kampuni hiyo imekuwa ikihakikisha kikosi hicho kinafanya maandalizi m

Africa Cup of Nations qualifying: Five unanswered questions



Who replaces Uzoho and Ighalo? Nigeria have impressed since a mixed World Cup campaign, comfortably dispatching the Seychelles before a pair of impressive victories over Libya. However, Gernot Rohr has something of a selection headache ahead of the showdown with South Africa as the German looks to get the Super Eagles over the line. In goal, either Daniel Akpeyi or Ikechukwu Ezenwa must deputise for injured Francis Uzoho, although neither has truly inspired confidence to date. Up front, top scorer Odion Ighalo also misses out; will his absence leave Nigeria without a cutting edge?

Comments

Popular posts from this blog

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachotarajia kucheza mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Uganda Machi 24,2019.

Stephen Keshi Stadium confirmed as venue for Nigeria's friendly with Egypt